Rais Samia Suluhu Hassan amelipia jumla ya tiketi 5000 kwa mashabiki wa soka nchini watakaokwenda kushuhudia mchezo wa mkondo wa kwanza wa Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho #CAFCC kati ya Yanga dhidi ya USM Alger utakaopigwa Mei 28, 2023 kwenye dimba la Mkapa, Dar es Salaam.

