Home
Home
Rais Samia ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM
Rais Samia ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM
May 22, 2023
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo tarehe 22, Mei 2023.
Social Plugin