Waziri mwenye Dhamana ya Fedha (Mwigulu Nchemba) ambae pia Hata TRA ipo chini yake ambayo ndio miongoni mwa vyombo lalamikiwa zaidi kutoka kwa wafanyabiashara wa kariakoo akifurahi kwa pamoja Baada ya kikao kati ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na wafanyabiashara kumalizika hapa mnazi mmoja.