Watu mbalimbali wamefika Nyumbani Mvumi Dodoma kwa ajili ya kushiriki ibada ya mazishi ya Marehemu William John Malecela (Le Mutuz).
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amefika nyumbani Mvumi Dodoma kwa ajili ya kushiriki ibada ya mazishi ya Marehemu William John Malecela ( Le Mutuz )




