Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo ameshuhudia utiaji wa saini kati ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Kampuni tatu zikiwemo Evergreen Egypt United ya Misri , National Company for fisheries and Aqua culture, pamoja na Source link Ltd kwa hati ya ushirikiano wa uendelezaji wa miradi ya Uvuvi na ufugaji wa mazao ya Baharini Zanzibar . Leo tarehe 17/05/2023 Ikulu, Zanzibar.