Akizungumza na Wananchi wa Kijiji Cha Nandagala ilipofanyika Shughuli hiyo *Rais Dkt, Samia* amesema lengo la Serikali ni kuunganisha Mkoa wa Lindi kwa Barabara za lami na Barabara za kuunganisha Wilaya.
Pamoja na hayo *Rais Dkt, Samia* amewahimiza Wananchi wa Lindi kuweka mkazo kwenye kilimo Ili kuinua uchumi wa Taifa na mkulima mmojammoja.









