Msanii wa Muziki kutoka chini Nigeria wizkidayo amefiwa na mama yake mzazi 'Bi Jane Dolapo Balogun' siku ya jana 

Kwa mujibu wa taarifa ya Meneja wa Wizkid wa muda mrefu sunday.are amesema kifo hicho kimetokea asubuhi ya Agosti 18, 2023 japo hajaweka wazi chanzo cha kifo hicho.



Marehemu Bi Jane Balogun alikuwa mama wa watoto wengine wawili, Yetunde Balogun a Lade Balogun.

Mungu awe pamoja na Wizkid a familia yake kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu.