Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 26, 2023 amehutubia  Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Rasilimali Watu, ambao unaendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, Mkutano huo umehudhuriwa na Wakuu na Viongozi wa Nchi mbalimbali kutoka Afrika.