Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam , Mhe. Rais Nyusi amesindikizwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, mhe. Faustine Kasike.














