Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 

“Ninachoweza kusema ni kwamba hoja zote zilizozungumzwa leo na zile ambazo zilizungumzwa na viongozi wenu tukaja kuwapa mrejesho kwenye mkutano pale Kariakoo tunaendelea kuzifanyia kazi,"