Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili Abuja nchini Nigeria kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe. Bola Tinubu