Kocha wa yangasc , Nasreddine Nabi amefurahishwa na kitendo cha wapinzani wao Marumo Gallants kuruhusu mashabiki kuingia bure katika mchezo wa hapo leo.


"Ni jambo zuri Marumo wamepanga mechi isiwe na kiingilio. Sisi kama Yanga tunapenda kucheza mbele ya mashabiki wengi kuliko uwanja kukosa mashabiki.”



Profesa Nabi ameongeza kuwa “Nina wachezaji wenye uzoefu wa kutosha wa kucheza mechi za namna hii,”