STAA wa Muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdul Maarufu Diamond Platnumz alipowasili Bungeni jijini Dodoma kushuhudia uwasilishaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2023/2924.



Diamond ni miongoni mwa wasimamizi na wamiliki wa vyombo vya habari ambao wapo katika ukumbi wa Spika kusikiliza bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka ujao wa fedha.