Mamlaka ya Biashara chini (Tantrade)

imewatadharisha wafanyabiashara wanaofanya

Maonesho ya Bidhaa zao nje ya nchi pasipokuwa na

idhini ya Mamlaka hiyo.


Akizungumza na waandishi wa habari na wahariri wa

vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi

wa Mamlaka ya kibiashara ya Tanzania (Tan trade)

Latifa Khamis amesema kwa mujibu wa sheria 4 ya

taasisi hivo inazuia Taasisi kufanya maonesho ya

kibiashara va bidhaa nie va nchi pasipo kuwa na

kibali cha Mamlaka hiyo.

Latifa Mohamed amesema Lengo la sheria hiyo

nikudhibiti na kukuza taswira va nchi na sekta va

Bidhaa na kibiashara nie va nchi.


Akizungumza Kwa niaba ya wahariri na vombo vya

habari Neville Meena ameshauri mamlaka hiyo kutoa

taarifa maalum ambayo itasaidia jamii Ili kupunguza

taarifa zisizo sahihi katika mitandao ya kijamii.