Rais Ruto alivyowasili kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi
September 05, 2023
Rais wa Kenya, William Ruto alivyowasili kwenye Mkutano wa Mabadiliko yaTabianchi Bara la Afrika (Africa Climate Summit 23) unaofanyika Nairobi chini Kenya katika Ukumbi waKICC kwa gari linalotumia umeme.