Na Beatrice Kaiza
Meridianbet, kampuni kubwa ya michezo ubashiri mtandaoni, inafuraha kutangaza ushirikiano wake wa kipekee na Halopesa, moja ya mtoa huduma bora zaidi wa malipo kwa mitandaon ya simu hapa nchini, kuzindua Promosheni ya kibabe Zaidi
"Meridianbet JICHUKULIE MAOKOTO na HALOPESA".
Ikiwa na lengo la kumnufaisha mtumiaji wa Meridianbet na Halopesa wakati wa kufanya malipo.
"MERIDIANBET JICHUKILIE MAOKOTO NA HALOPESA" inawapa wateja wa
Meridianbet njia isiyo na vikwazo, salama, na rahisi ya kuweka pesa kwenye akaunti zao za michezo kupitia Halopesa ambayo itawapatia zawadi kibao kabambe kipindi chote cha promosheni.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Septemba 15,2023 Dora Kinyaiya Meneja Malipo amesema kuwa ushirikiano huu utaenda kuongeza tia kwa wapenzi wa michezo ya bashiri kupitia
Meridianbet mabingwa namba moja wa michezo ya kasino ya mandaoni na ubashiri wa soka.
Tunaposema "Meridianbet Vuna Zaidi na Airtel Money," tunamaanisha kuwa mteja mshindi atapokea zawadi tofauti kama vile pikipiki, simu janja, pesa taslimu, bonasi, na Mizunguko ya bure! Yenye kuleta msisimko usio na kifani na zawadi kedekede kwa watumiaji wetu wote waliotukuka!
Tuna furaha kutangaza ujio wa promosheni hii mpya, inayoanza leo Septemba 15 mpaka 15 Novemba 2023 kwa wateja wafanyao miamala ya simu kupitia Halopesa kwenda kwenye akaunti zao za Meridianbet ili waweze kubashiri soka na michezo ya kasino, wataweza kuingia kwene droo na kushinda pikipiki mpya, smartphone za kijanja, na zawadi nyingine kibao.


