Na Beatrice Kaiza 


 Mkurugenzi Mtendaji wa  Mazao ya jamii ya kampuni ya kitanzania PULSES NETWORK (TPN) Zirack Andrew amesema jopo la waandaaji wa mkutano wa kimataifa wa chakula ambao utakaofanyika tarehe 10hadi 12 Katika viwanja vya daimond jubilee ambalo linalolenga kilimo Kwa kila mtanzania



Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 08,2023 ambapo ilikuwa ni siku ya wakulima duniani NANENANE Mkurugenzi Mtendaji wa MAZAO ya jamii ya kampuni ya kitanzania PULSES NETWORK (TPN) Zirack Andrew Amesema Kwa mara ya kwanza Afrika na mara Moja VYAMA tofauti tofauti vya vyakula Afrika vimeungana na kuwaalika wenzetu kutoka India ambae wamekua na uzoefu wa kufanya maonyesho nchi mbalimbali Kama Ghana,India na mashariki ya kati na sehemu tofauti tofauti duniani Ili kupata uzoefu



“kupata uzoefu na kugawanisha masoko ya kimataifa na mkutano huu unatarajia kua na makampuni Zaidi ya 500, ambayo yatakuja kuhudhuria maonyesho hayo na kongamano guli ambalo litakuwa na mabanda Zaidi 3020 Kwa kuangalia vitu tofauti tofauti inavyofanywa duniani”



“Dhima ya kufungua masoko ya mazao yetu hapa Tanzania na Afrika na kimataifa ni kuunganisha nchi nyingi za Asia,china,India na mashariki ya kati wanaidadi kubwa sana ya watu”Amesema Andrew


Aidha amesema kilimo Cha kujikimu lakini miaka iliyopita tumejitahidi kutoka kwenye kilimo Cha kujikimu kulima kilimo Cha kibiashara kimekuwa na matokeo chanya ambayo kimekua na matokeo chanya ambayo kumeongezeka Kwa mazao ya chakula



“mazao yakiwa mengi kwenye gala masoko hakuna inakuwa changamoto kwasababu sehemu nyingine Duniani wanaitaji sana chakula naa taarifa ya uzalishaji,wetu gawana Kwaiyo tumeona tuazushe kongamano hili wapate taarifa ya uzalishaji wetu”.Ameongezea Andrew



Kongamano hilo la kibiashara litafanyika mwezi wa 08 tarehe 10 na 12 Katika viwanja vya daimond jubilee