Kijana wa Kitanzania ambaye bahati ni yake ameshinda  Premier Bet Milioni 96 522,760/= Kelvin Donatus


Akizungumza na waandishi wa habari Sami Matar, ambaye ni Meneja wa Uendeshaji wa Premier Bet amesema anaye furaha kubwa kuwapa habari za kusisimua wapenzi wa Premier Bet na kumtangaza mshindi  ambaye ametokea mkoani Arusha aitwaye Kelvin Dinatus.





“Tuko hapa kusherehekea ushindi mkubwa wa mmoja wa wateja wetu, Kelvin Donatus ambaye ni Tour Guide kutoka Arusha amepata ushindi mkubwa wa ubashiri wa michezo  ameshinda kiasi cha TZS 96,522, 760 kutoka kwenye tiketi yake iliyokua na mechi 10, kwa dau la

TZS 100, 000,” amesema  Matar. 




Aliongezea kuwa ushindi huu wa kipekee unaonyesha uwezo wa michezo ya kubahatisha kwenye kuleta mafanikio yanayobadilisha maisha. 


Pia amesema kuwa Kelvin Donatus kwa kuibuka mshindi 

ni mafanikio ambayo yatawapa hamasa wateja wote. kuonyesha kuwa ndoto zinaweza kutimia kwa wote wenye bahati na umakini kidogo kwenye kufanya machaguo ya michezo ya


Nae mshindi amesema “Nina shukuru kwa fursa hii na bahati kubwa niliyopata. Premier Bet imenipa namna ya kipekee ya kufurahia mchezo nimeshinda kiasi cha TZS 96, 522. 760 kutoka kwenye tiketi yangu iliyokua na mechi 10. Kwa dau la TZS 100,000 tu. Ushindi huu wa kipeke unaonyesha uwexo wa michezo ya kubahatisha kwenye kuleta mafanikio yanayobadilisha maisha,” amesema Donatus.



Kwa upande Meneja wa Rasilimali watu katika Kampuni ya Premier Bet Tanzania Amanda Kusila amesema kuwa Kelvin ambaye ameshinda kiasi kikubwa cha TSH. 96,522,760 kutoka kwenye mkeka wake uliokus na machaguo ya mechi 10 za mpira kwa dau la laki moja tu.


“Tunapenda wateja wetu waelewe kuwa kubashiri ni burudani na haitakiwi kugharimu afya ya mtu,” amesema   kusila.