Taaasisi  ya jakaya kiwekwete  jkic  inayotoa  huduma ya tiba ya moyo na upasuaji  imetoa  mwelekeo wa  utekelezaji  wa mwaka wa fedha  2023/2024

Akizungumza na waandishi  wa habari jijini Dar salama  mkurugenzi  mtendaji wa taasisi hiyo  Dkt Peter  kisenge alisema kutokana na shughuli mblimbali zinazofanywa na jkic  serikali  imeunga mkono ili kupunguza  magonjwa ya moyo

Baadhi  ya  mikoa  taasisi yetu  imekwenda kutoa huduma za moyo ikwemo Mtwara, Lindi, Geita Arusha na kadhalika hivyo inaenda kurasimisha huduma  za upasuaji  wa moyo.

Ametoa pongezi  kwa Rais  wa jamhuri wa muungano wa Ta nzania  Dkt Samia suluhu  hasani  kwa kutoa  fedha bilioni  66  kwa ajili ya taasisi hiyo

Lakini pia Amewataka  wananchi nchini kufanya mazoezi  na kutotumia baadhi ya vitu  vikiwemo matumizi ya sukari kwa wingi, uvutaji wa sigara na waweze  kujiunga na bima ya afya.